REDDS FASHION PARTY!!

EVENT::REDDS FASION PARTY
VENUE::MOVEN PICK
DRESS CODE::GLAMOROUS
tashtiti...mlangoni kulikuwa na miji CHOCOLATE BIBI unajisevia unazama ndani

                       waliotunukiwa ndo hawa Miss Ilala shoto Miss Temeke Kati na Miss kinondoni
                  stocking ni za swagga jamani sasa hizo mtasema zinazuia baridi?!!msi2fanyie ivyo!! :)

PASPOT SIZE!!




SWAGGAz



Fashionista huyu alinisuuza....juu ana sox kama za my RIRI ....na mikononi alipiga short gloves....ni Swagga tu
                                                                     RED CARPET!!


















                                                   fashionista alitupia kitu cha lace kati
                             Fashionista huyu alikuwa na kitu cha sox.....chezee.....Kama my riri eee :)

                                     tupo pamoja kwenye swagga za Rio Poul shurt kwa purple

                                  Mamaa Raniyya nae alikuwa na kivazi cha lace...Juu saana

Stocking kwa sasa zavaliwa saana Bongo ni swagga na pia inakupa kampani kwenye kivazi kifupi


                                                           Oh Oh oh lalalaaaaaaaaaaaaaa....:)


                                      Miss wa Zamani na wasasa...HAPO CHACHAA!!!!


WAKATI TUNAONDOKA ...SI TUKAKUTANA NA LIL KIM ANASHUKA KUELEKEA KWENYE FIESTA...NI DA KHADIJA PEKEE ALIYEBAHATIKA PATA PICHA!!   :)

0 comments:

Post a Comment