WADAU.....TUMSAIDIENI NA HUYU

Hallow da Shamim,
   Mimi ni mdau wa blog hii lakini kwa leo naomba niombe msaada toka kwako na wadau wengine.
  Mimi ni msichana na tatizo nililonalo ni kwamba kila nikishave natokwa na upele, mara ya kwanza nilikuwa natumia shaving cream aina a veet na baada ya hapo nikiwa natumia shaving machine ya Gillette lakini matokeo bado ni hayo hayo.
  Naomba msaada wako na wa wadau pia kama wanajua tiba sahihi ya tatizo lana maana lininakosesha raha.

thanks,

mdau.

0 comments:

Post a Comment