TUMSAIDIE HUYU!!

Mimi nina midomo ina rangi nyeusi kwenye lips inawezekanaje kuondoa weusi kwenye mdomo na  sehemu zangu za siri pia rangi hii huwa inanikosesha amani sana sijui inasababishwa na nini na naweza kutumia nini ili kuondoa hii hali kwani inanikera sana 
Mdau toka Bongo urembo

0 comments:

Post a Comment