INGIZO JIPYA.....KANGA JEANS

Proudly Tanzanian.....kitu hichi kimebuniwa na mbunifu wa Kitanzania Vida Mahimbo...Fashionistaz, sasa mna kitu cha kujivunia jamani, hebu ukishapata pair yako  nitumieni via shamyomy@yahoo.com, japokuwa VIDA anasema zilizopo sasa hv ni zakutangaza na kuzindua....soon vitakuwa sokoni

0 comments:

Post a Comment