INGIZO JIPYA!!....LACE


kuna na viatu vyake
Magauni yake
Kuna blazer zake
Paris Hilton ye huitinga style hii
kuna top zake pia
                                                          JOCATE ye alijilipua nayo hivi
                                                         JIDE ye huitinga  kwa mwendo huu
                                                  NURU THE LIGHT ye hujipigilia kistyle hii
Lol wakati napiga hii picha sikujua mie nilikuwa nimekonsetret kwenye LACE, wakati natengeneza picha nikagundua ni VIDA MAHIMBO...ye aliipiga design ya KIBAJAJI

HAYA WE MDAU NAWE UNALACE....nitumie picha tujue jinsi ya kutinga LACE via shamyomy@yahoo.com

0 comments:

Post a Comment